Asha Boko ni mmoja wa waigizaji wa kike wenye kuvunja mabavu akiringia umbile lake kubwa na kipaji halisi cha sanaa alichonacho.Ni mtoto wa tano kati ya sita wa familia yao[1]

Historia

hariri

Asha alipata elimu yake ya msingi na sekondari katika shule ya Kongowe kabla ya kujikita katika sanaa akishiriki tamthilia kadhaa.

Filamu alizoshiriki

hariri
  1. Taswira
  2. Zizimo
  3. Back From New York
  4. Teja
  5. Jazba
  6. Kuku wa Kichina
  7. Hekaheka
  8. Kitimtim

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asha Boko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.