Ashar Aziz (alizaliwa 1959) ni mhandisi wa umeme raia wa Pakistani na Marekani, mfanyabiashara na mhisani wa mambo ya jamii.

Anafahimika kama mvumbuzi wa kampuni ya usalama wa mtandao FireEye[1] huko bonde la silikoni.

Bilionea huyo [2][3] alikadiriwa kuwa na utajiri wa dola zaidi ya milioni 233 mwaka 2015[4].

Marejeo

hariri
  1. Ryan Mac. "Rampant FireEye Shares Makes Founder Ashar Aziz A Cybersecurity Billionaire". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
  2. Making the Impossible Possible: Ashar Aziz | The New Spaces
  3. Julie Bort. "Shares Of Newly Public Company FireEye Have Gone Nuts, And They've Turned This Man Into A Billionaire". Business Insider (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-07-28.
  4. "Ashar Aziz Net Worth (2022) – wallmine.com". au.wallmine.com (kwa Australian English). Iliwekwa mnamo 2022-07-28.