Ashraf Ssemwogerere
Mwigizaji na muongoza filamu kutokea Uganda
Ashraf Ssemwogerere (or Semwogerere) ni mwigizaji wa filamu wa kiume kutoka nchini Uganda.[1] . Alikuwa maarufu kutokana na filamu yake ya Mukajanga ("The passion of the Ugandan Martyrs") ni simulizi kuhusiana na timu ya kifalme ya Buganda ambayo iliuliwa kutokana na kuwa na Imani ya kikristo Kabaka wa Buganda|Kabaka Mwanga II wa Buganda. [2]
Marejeo
hariri- ↑ "Why the Ugandan film industry has failed to take off". Celeb Africa.Net. 2012-12-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-10. Iliwekwa mnamo 2013-10-07.
- ↑ "Films Uganda: Ashraf Semwogerere is back with Movie". Filmsuganda.blogspot.com. 2009-06-02. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-10. Iliwekwa mnamo 2013-10-07.
{{cite web}}
: More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)