Asia ya Kaskazini

(Elekezwa kutoka Asia Kaskazini)

Asia ya Kaskazini ni kanda ya kaskazini ya bara la Asia. Kuna maelezo ya kutofautiana lakini kwa jumla ni sehemu kubwa ya Siberia au sehemu ya Kiasia ya Urusi.


Kanda za Asia (buluu: Kaskazini)

Wengine wanahesabu Mongolia humo.

Tazama pia