Atogepant
Atogepant, inayouzwa kwa jina la chapa Qulipta, ni dawa inayotumika kuzuia kipandauso.[1] Inachukuliwa kwa mdomo mara moja kwa siku.[1] Matumizi yake hayaonekani kusababisha maumivu ya kichwa yanayotokana na matumizi ya kupita kiasi ya dawa.[2]
Jina la Utaratibu la (IUPAC) | |
---|---|
(3S)-N-[(3S,5S,6R)-6-methyl-2-oxo-1-(2,2,2-trifluoroethyl)-5-(2,3,6-trifluorophenyl)piperidin-3-yl]-2-oxospiro[1H-pyrrolo[2,3-b]pyridine-3,6'-5,7-dihydrocyclopenta[b]pyridine]-3'-carboxamide | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Qulipta |
AHFS/Drugs.com | Kigezo:Drugs.com |
Taarifa za leseni | US Daily Med:link |
Kategoria ya ujauzito | ? |
Hali ya kisheria | ℞-only (US) |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mdomo |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Visawe | AGN-241689, MK-8031 |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | C29H23F6N5O3 |
|
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kichefuchefu, kuvimbiwa choo na uchovu.[1] Matumizi yake wakati wa ujauzito yanaweza kumdhuru mtoto.[1] Haipaswi kuchukuliwa na watu wenye matatizo makubwa ya ini.[1] Dawa hii ni kipinzani cha kipokezi cha peptidi inayohusiana na jeni (CGRPR), haswa gepant.[1][3]
Atogepant iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani mwaka wa 2021.[1] Kufikia mwaka wa 2022, ilikuwa haijaidhinishwa Ulaya wala Uingereza.[4] Nchini Marekani, inagharimu takriban dola 1,000 za Marekani kwa mwezi.[5]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 1.4 1.5 1.6 "Qulipta- atogepant tablet". DailyMed. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)"Qulipta- atogepant tablet". DailyMed. Archived from the original on 1 November 2021. Retrieved 31 October 2021. - ↑ "Atogepant Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Februari 2024. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tepper, Deborah (Mei 2020). "Gepants". Headache: The Journal of Head and Face Pain. 60 (5): 1037–1039. doi:10.1111/head.13791.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Atogepant". SPS - Specialist Pharmacy Service. 5 Oktoba 2017. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Desemba 2021. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Qulipta". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2022.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)