Milima Auas (kwa Kijerumani Auasberge) ni safu ya milima katika nchi ya Namibia (Afrika).

Milima Auas

Urefu wake unafikia hadi mita 2,484 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri