Augustine Philip Mahiga

Augustine Philip Mahiga (amezaliwa 28 Agosti 1945) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha siasa cha CCM. Ameteuliwa kuwa mbunge na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa mwaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017