Avengers ni filamu iliyoanzishwa mwaka 1950 na ni filamu pendwa sana bado. Inaelezea kuhusu vita baina ya watu wa makundi mawili ambayo hupigania baadhi ya mawe yenye nguvu ambazo si za kawaida. Filamu hii ilitungwa kuendana na uhalisia wa mapigano yake.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Avengers kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.