Azawi

Mwanamziki wa Uganda

Priscilla Zawedde, (alizaliwa tarehe 2 Februari mwaka 1996) anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Azawi[1] ni mwimbaji wa Uganda, mtunzi wa nyimbo[2][3] na mcheza densi aliyetiwa saini na Swangz Avenue mwaka 2019.

Ni mwimbaji wa muziki wa Afrobeats[4] kwa lugha ya Kiganda na Kiingereza. Alikua mwanamke wa kwanza wa kike wa Uganda kuonekana kwenye mabango ya New York Times Square na Los Angeles billboards.

Marejeo hariri

  1. "Azawi on MTV Base list of artistes to look out for this year". New Vision (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-26. 
  2. "Music Review: Slow Dancing – Azawi & Myko Ouma (acoustic version)". New Vision (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-26. 
  3. Okereke, Caleb. "Meet Priscilla Zawedde aka Azawi, Uganda’s rising star". The Observer - Uganda (kwa en-gb). Iliwekwa mnamo 2022-03-25. 
  4. Bm, B. (2021-10-11). "African Music by Azawi is the Album of the year!". Galaxy FM 100.2 (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-03-25. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Azawi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.