Baba Fryo
mwimbaji wa Nigeria
Baba Fryo (jina la kuzaliwa Friday Igwe) ni mwimbaji mkongwe wa Nigeria kutoka Ajegunle . Wimbo wake maarufu nchini Nigeria uliitwa "Dem go dey pose" alioutoa mwishoni mwa miaka ya 1990. [1][2]
Friday Igwe | |
Amezaliwa | Ajegunle |
---|---|
Nchi | Nigeria kutoka Ajegunle |
Majina mengine | Baba Fryo |
Kazi yake | mwimbaji |
Maisha binafsi
haririBaba Fryo alisema mwaka 2017 kwamba alitamani kuoa mwanamke ambaye pia anafanya biashara ya showbiz.
Alilalamika kwamba kama angeowa mtu mashuhuri kama yeye, kazi yake isingeshuka kama ilivyokuwa kwa sababu mke angeinua kazi yake pia. Hata hivyo alisema bidii nyingi zimemsaidia sana. [3]
Marejeo
hariri- ↑ Michael, Chijekwu. "I need help Baba Fryo cries out". Iliwekwa mnamo Oktoba 3, 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Tommy (2023-02-22). "Baba Fryo - "Dey Ur Dey"". tooXclusive (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
- ↑ "BABA FRYO LAMENTS!'I wish I married a wife in the showbiz business'". Vanguard News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-03-04.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Baba Fryo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |