Baba Yetu (kwa Kiingereza "Our Father") ni wimbo wa mwaka 2005 katika mchezo wa video ujulikanao kama Civilization IV.

Christopher Tin ndiye mtunzi, Ron Ragin na Stanford Talisman waimbaji.

Ukaguzi

hariri

Wakaguzi zaidi ya 20 waliipitia na kufanya ipate sifa kubwa hadi kuchaguliwa kwenye majukwaa kama vile IGN na GameSpy.

Marejeo

hariri