Bad Boy Records
Bad Boy Records (jina kamili ni Bad Boy Entertainment) ni studio ya kurekodia muziki ya East Coast Hip-Hop/R&B iliyoanzishwa na mtayarishaji/rapa maarufu wa Kimarekani Bw. Sean "Diddy" Combs kunako mwaka wa 1993[1]. Leo hii inaendesha shughuli zake za muziki ikiwa chini ya kampuni ya muziki ya Warner Music Group, na kazi zake zinasambazwa na studio ya Atlantic Records.
Bad Boy Records | |
---|---|
Shina la studio | Warner Music Group |
Imeanzishwa | 1993 |
Mwanzilishi | Sean Combs |
Usambazaji wa studio | Atlantic Records (US) WEA International (nje ya-US) |
Aina za muziki | Mbalimbali |
Nchi | Marekani |
Mahala | New York City |
Tovuti | Bad Boy Records |
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Bad Boy Online Ilihifadhiwa 2 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bad Boy Records kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |