Abhairege

(Elekezwa kutoka Bairege)

Abhairege (pia Abairegi , Bairege) ni moja ya koo za Wakurya katika maeneo upande wa mashariki wa ziwa Nyanza Viktoria la Afrika ya Mashariki. Watu hao wapo mashariki mwa Wakurya wengine katika mkoa wa Mara nchini Tanzania na huko Kenya magharibi mwa Mkoa wa Nyanza-