Balıkesir ni mji uliopo katika mkoa wa Marmara katika nchi ya Uturuki. Mji una wakazi wapatao 649,623 waishio katika mji huo. Ni kituo kikubwa cha kusafirishi bidhaa zao kwa nchi za nje. Ni kituo mashuhuri kwa watalii wenyeji na wageni, ambao wanaotumia hapo kwa kupelelezea nchi za zipakanazo na mji huo. Sana kwa uzuri wake wa kuwa na Mlima wa Ida (Kaz Dağı). Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Balıkesir.

Balıkesir
Eneo katika Uturuki
Bursa
Bursa
Maelezo
Eneo : 14,456  km² (Mkoa)
Idadi ya watu: 1,076,347(Mkoa)
215,436 (City)
Urefu : m 70
Saa za eneo : UTC+2
Tovuti : Balikesir Municipality Archived 5 Desemba 2006 at the Wayback Machine.
Kodi ya Posta : 10xxx
Kodi za Eneo : 0266
Ngazi ya Utawala
Nchi : Uturuki 10
Meya Sabri Uğur
Gavana Selahattin Hatipoğlu

Karibu kidogo na Balıkesir kulikuwa na mji wa Roma wa Hadrianutherae, uligundulika kwa jina la commemorates, na Dola la Hadrian. Wakati wa umiliki wa Ufalme wa Byzanti mji ulikuwa ukijuilkana kwa jina la Palaeokastron (Kigiriki: Palaeologus castle).

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Balıkesir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.