Banky W.
Olubankole Wellington(amezaliwa 27 Machi 1981), maarufu kwa jina lake la kisanii Banky W na kutajwa katika filamu kama Banky Wellington, ni mwimbaji mwenye asili ya Nigeria, rapa, mwigizaji, mjasiriamali na mwanasiasa.[1][2][3]
Marejeo
hariri- ↑ "Banky Wellington: 'Music was a platform to get in the door'", BBC News.
- ↑ "Banky Wellington Archives".
- ↑ "Without sounding arrogant, I'm confident of defeating Banky W – Obanikoro". Punch Newspapers (kwa American English). 2022-07-07. Iliwekwa mnamo 2022-07-17.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Banky W. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |