Bao la Kiarabu ni mchezo wa aina ya mankala unaochezwa na wachezaji wawili.

Mchezo wa Bao la Kiarabu umesambaa nchini mwa Zanzibar na Omani. Nchini Omani, Bao la Kiarabu linaitwa Hawalis.

Aina nyingine za Bao la Kiarabu ni Bao la Kiswahili, Omweso, n.k.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bao la Kiarabu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.