Baraka Kilala Makaba (amezaliwa tar. 8 Mei 1978) ni mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Filamu ambazo ametayarisha ni, Pete Almasi, Operesheni Surrender, True Faith na Omorion.

Baraka Makaba
Jina la kuzaliwa Baraka Kilala Makaba
Alizaliwa 8 Mei 1978
Tanzania
Jina lingine Makaba
Kazi yake Mtayarishaji
Miaka ya kazi 2002 - hadi leo
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baraka Makaba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.