KNEC
(Elekezwa kutoka Baraza la Mitihani ya Kitaifa ya Kenya (KNEC))
Baraza la Mitihani ya Kitaifa ya Kenya, (Kenya National Examination Council, KNEC) ni baraza la kitaifa ambalo lina wajibu wa kusimamia mitihani ya kitaifa nchini Kenya. Baadhi ya mitihani inayopeana ni:
Huu ni mtihani ambao hufanywa baada ya mwnanafunzi kumaliza masomo yake ya msingi. Huu ni wakati mwanafunzi huyu yumo katika darasa la nane. Baada ya kufanya mtihani huu, yeye anaweza kujiunga na sekondari.
Huu ni mtihani ambao hufanywa baada ya mtu kutimiza miaka minne ya masomo katika shule ya sekondari (uplili). Baada ya kuufanya mtihani huu, mmoja anaweza kwenda chuo kikuu au taasisi za msingi wa juu na hii inategemea alama aliyopata. Mitihani ya mwisho ya politekniki zote za kitaifa.
Somea KCSE na ona vyuo vikuu nchini Kenya.
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu KNEC kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |