Baraza la mawaziri Tanganyika 1961

Baraza la mawaziri Tanganyika 1961 lilikuwa la kwanza baada ya Tanganyika kupata uhuru kamili kutoka hali ya nchi lindwa chini ya Waingereza iliyokuwa nayo hadi tarehe 9 Desemba 1961.

Historia hariri

Baada ya kupata uhuru mwaka 1961, Tanganyika ilikuwa na Baraza la mawaziri lenye mawaziri 11 tu, idadi ndogo kuliko serikali zote zilizofuata.

Mawaziri ni wafuatao:

  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baraza la mawaziri Tanganyika 1961 kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.