Barbara J. Bloemink (alizaliwa 1953) ni mwanahistoria wa sanaa Mmarekani na alikuwa mkurugenzi na mkusanyaji mkuu wa muzee watano wa sanaa na ubunifu. Amechapisha kazi kadhaa juu ya mchoraji wa kisasa Florine Stettheimer (1871–1944) na anachukuliwa kama mtaalam wa msanii huyo.[1][2]

Barbara Bloemink, 2022 huko New York City

Marejeo hariri

  1. "Barbara Bloemink", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-08, iliwekwa mnamo 2024-05-12
  2. "Barbara Bloemink", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-04-08, iliwekwa mnamo 2024-05-12
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barbara Bloemink kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.