Barlaam wa Antiokia

Barlaam wa Antiokia (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 303 hivi) alikuwa mkulima asiyejua kusoma wala kuandika aliyeuawa katika dhuluma wa kaisari Dioklesyano dhidi ya Ukristo[1][2][3].

Basili Mkuu, Yohane Krisostomo na Severo wa Antiokia walihubiri juu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Novemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.