Barnaba Classic
Elias Barnabas Inyasi (ambaye anajulikana kwa majina yake ya kisanii, Barnaba Classic au Barnaba Boy [1]) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwigizaji kutoka Tanzania.
Tuzo
haririKatika Tuzo za Muziki Tanzania (Tanzania Music Awards) za mwaka 2023, Barnaba alishinda tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka kwa albamu yake "Love Sounds Different". Hata hivyo, aliamua kumpa Marioo tuzo hiyo kama ishara ya kuthamini kazi yake.
Marejeo
hariri- ↑ "Barnaba Boy: Nayakosa sana maisha ya kawaida". BBC News Swahili. 19 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 2022-12-23.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barnaba Classic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |