Barney Ewell
Henry Norwood "Barney" Ewell (Februari 25, 1918 - 4 Aprili 1996) alikuwa mwanariadha wa Marekani na mshindi wa medali moja ya dhahabu na mbili za fedha katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 1948. [1]
Marejeo
hariri- ↑ "Barney Ewell". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-04-17. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
{{cite web}}
: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barney Ewell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |