Karl Barry Sharpless (amezaliwa 28 Aprili 1941) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza aina fulani ya uoksidishaji. Mwaka wa 2001, pamoja na William Knowles na Ryoji Noyori alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Barry Sharpless
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barry Sharpless kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.