Barumba Beatrice Rusaniya


Barumba Beatrice Rusaniya (alizaliwa 2 Desemba 1964) ni mwanasiasa wa kike kutoka Uganda.[1]

Barumba Beatrice Rusaniya
Tarehe ya kuzaliwa 2 Desemba 1964
Kazi Mwanasiasa

Alikuwa mwanachama wa National Resistance Movement (NRM) na Mbunge wa Wilaya ya Kiruhura katika Bunge la Uganda la nane na la tisa.[2] Mnamo mwaka wa 2005, wakati Wilaya ya Kiruhura ilipoundwa kutoka Wilaya ya Mbarara, Beatrice alikua Mbunge wa Mwanamke wa kwanza wa Kiruhura kuanzia mwaka 2006 na alihudumu hadi mwaka 2016.[3]

Marejeo

hariri
  1. Independent, The (2008-11-05). "Mbabazi, Suruma face political end". The Independent Uganda (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-22.
  2. "Members of 9th Parliament". Fortune Of Africa - Uganda (kwa American English). 2013-06-07. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-15. Iliwekwa mnamo 2022-03-22.
  3. Mulengera. "BEATRICE RUSANIYA RIDES ON KAZO TO BOUNCE BACK IN NATIONAL POLITICS – mulengeranews.com" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-22.
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barumba Beatrice Rusaniya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.