Basbasi (pia: basibasi) ni ngozi ngumu iliyomo katika tunda dogo la aina ya kungumanga.

Tunda la mkungumanga na jozi lake, katikati ni kungumanga yenyewe.

Pia ni kiungo cha chakula au kitoweo chenye ladha ya kuwashawasha.

Ni kati ya mazao maarufu ya Zanzibar.