Basilei wa Amasea

Askofu

Basilei wa Amasea (alifariki Nikomedia, katika Uturuki wa leo, 322 hivi) alikuwa askofu wa Amasea aliyefia dini yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Licinius[1][2]).

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Acta Sanctorum, April, III, 416–422;
  • Surius, De prob. vitis Sanctor. (Cologne, 1571), II, 857–864;
  • Tillemont, Memoires (Brussels, 1732), V, 219 sqq., 352 sqq.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.