Bassey Akpan
Bassey Abobo Akpan (amezaliwa 6 Januari 1984 jijini Eket, Jimbo la Akwa Ibom) ni mchezaji wa soka wa Nigeria ambae anacheza kama golikipa klabu ya ligi kuu ya Nigeria (NPFL), Kano Pillars.[1]
Heshima
haririKimataifa
haririNigeria U-17
- Mshindi wa Kombe la Dunia la FIFA la U-17: 2001
- Mshindi wa CAF U-17 Championship: 2001
Nigeria
- Mshindi wa Kombe la Mataifa ya WAFU: 2010
Taifa
haririBayelsa United
Heartland FC
- Mshindi wa Kombe la FA la Nigeria: 2011[4]
Akwa United
- Mshindi wa Kombe la Super Cup ya Nigeria: 2016
- Mshindi wa Super Four ya Nigeria: 2016
Kimataifa
haririHeartland FC
- Mshindi wa pili wa Ligi ya Mabingwa wa CAF: 2009
Bayelsa United
- Nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF: 2009
Hoang Anh Gia Lai FC
- Nafasi ya tatu ya V.League 1: 2013
Binafsi
hariri- Mshindi wa Globu ya Dhahabu ya Kombe la Dunia la FIFA la U-17 wa mwaka 2001 FIFA U-17 World Championship
- Mshindi wa Globu ya Dhahabu ya Kombe la Mataifa ya WAFU wa mwaka 2010 WAFU Nations Cup
- Bingwa Mlinda lango Bora wa V-League 2012
Marejeo
hariri- ↑ "Former Super Eagles goalkeeper Bassey Akpan joins Kano Pillars". brila.net. Iliwekwa mnamo 21 Desemba 2021.
- ↑ "Nigeria 2008/09".
- ↑ "Nigeria 2007/08".
- ↑ "Profile of Heartland's historic squad".
Viungo vya nje
hariri- Takwimu za Kazi – Bassey Akpan kwenye Tovuti ya NFT.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bassey Akpan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |