Mkoa wa Bay

(Elekezwa kutoka Bay, Somalia)

Bay (Kisomali: Baay‎, Kiarabu: باي‎, Kiitalia: Bai) ni mkoa wa kiutawala (gobol) uliopo kusini mwa Somalia.[1]

Ramani ya mkoa wa Bay

Maelezo ya jumla hariri

Umepakana na mikoa mingine ya Somalia ambayo ni Bakool, Hiran, Lower Shebelle (Shabeellaha Hoose), Middle Juba (Jubbada Dhexe), na Gedo.

Tanbihi hariri

  1. Somalia. The World Factbook. Central Intelligence Agency. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-07-01. Iliwekwa mnamo 6 December 2013.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.