Bbaale
Bbaale ni mji uliopo Wilaya ya Kayunga nchini Uganda ambalo ni eneo la makao makuu ya Kaunti ya Bbaale.
Mahali ilipo
haririBbaale ipo takriban kilomita 53 sawa na maili 33 kwa barabara kutokea kaskazini mwa Kayunga ambao ndio mji mkubwa katika Wilaya ya Kayunga na eneo la makao makuu ya wilaya, pia ni takriban kilomita 16 sawa na mali 9.9 kaskazini magharibi mwa Namasagali katika Wilaya ya Kamuli kuvuka Mto Nile. [1]. Inapatikana kwa majira nukta (1 ° 05'51.0 "N, 32 ° 53'12.0" E (Latitudo: 1.097500; Longitudo: 32.886667)).[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Straight Line Distance Between Bbaale And Namasagali With Map". Globefeed.com. Iliwekwa mnamo 10 Februari 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.google.com/maps/place/1%C2%B005'51.0%22N+32%C2%B053'12.0%22E/@1.0974164,32.8883428,17z/data=!4m2!3m1!1s0x0:0x0%7C title=Location of Bbaale Town At Google Maps}}
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bbaale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |