Beaumont, Texas

Beaumont ni mji wa Marekani katika jimbo la Texas. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji una wakazi wapatao 114,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Beaumont
Beaumont

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Marekani" does not exist.Mahali pa mji wa Beaumont katika Marekani

Majiranukta: 30°04′48″N 94°07′36″W / 30.08000°N 94.12667°W / 30.08000; -94.12667
Nchi Marekani
Jimbo Texas
Wilaya Jefferson
Idadi ya wakazi
 - 113,866
Tovuti: www.CityofBeaumont.com


Flag USA template.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Beaumont, Texas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.