Bela Bartok

Bela Bartok (25 Machi 188126 Septemba 1945) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Hungaria. Alichunguza na kukusanya nyimbo za jadi kutoka maeneo yapakanayo na mto wa Danube.

Bela Bartok, 1899
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bela Bartok kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.