Benaissa Benamar
Benaissa Benamar (Kiarabu: بنعيسى بنعمر; alizaliwa 8 Aprili 1997) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama beki wa kati katika klabu ya Eredivisie ya Volendam.
Youth career | |||
---|---|---|---|
–2006 | VVA/Spartaan | ||
2006–2009 | Ajax | ||
2009–2012 | AFC | ||
2012–2014 | Volendam | ||
2014–2015 | Zeeburgia | ||
Senior career* | |||
Miaka | Timu | Apps† | (Gls)† |
2016–2018 | Jong Twente | 38 | (1) |
2018–2019 | Ittihad Tanger | 9 | (0) |
2019–2021 | Telstar | 39 | (3) |
2021–2022 | Utrecht | 5 | (0) |
2022 | → Volendam (mkopo) | 9 | (0) |
2022– | Volendam | 2 | (1) |
Timu ya Taifa ya Kandanda | |||
Morocco U23 | 2 | (0) | |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 20:29, 19 Agosti 2022 (UTC). † Appearances (Goals). |
Kazi
haririBenamar alikuwa akicheza katika idara ya vijana ya vilabu vya Uholanzi kama VVA/Spartaan, Ajax, AFC, Volendam, Zeeburgia na ADO Den Haag. Kati ya mwaka 2016 na 2018, alikuwa akicheza katika klabu ya Jong FC Twente, timu ya pili ya FC Twente ambayo ilishushwa daraja kutoka Tweede Divisie hadi Derde Divisie katika msimu wake wa kwanza.
Mwaka 2018, Jong FC Twente iliondolewa kutoka piramidi ya soka ya Uholanzi, na Benamar alihamia klabu ya Morocco ya Ittihad Tanger. Akiwa Ittihad, alicheza mechi sita katika ligi ya Botola Pro 1, na pia alicheza katika CAF Champions League na CAF Confederation Cup.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benaissa Benamar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |