Benjamin Miles "C-Note" Franklin

Benjamin Miles "C-Note" Franklin ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha TV cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Rockmond Dunbar.

Uhusika wa Prison Break

Benjamin Franklin
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2
Imechezwa na: Rockmond Dunbar
Pia anajulikana kama: C-Note
Kazi yake: Sajenti wa zamani wa Jeshi la US
Dereva wa zamani wa gari kubwa
Familia: Dede Franklin (binti yake)
Darius Morgan (shemeji yake-kaka wa mke wake)
Mahusiano: Kacee Franklin (mke wake)

Uhusika ulitambulishwa ukiwa kama mfungwa katika sehemu ya kwanza. Mwigizaji alipigiwa debe kama nyota mpya aliotakiwa kupandishwa daraja la wanachama wa kawaida (wahusika wakuu) katikati ya kumaliza msimu wa kwanza.

Viungo vya nje

hariri