Benki ya Letshego Tanzania Limited
Benki ya Letshego Tanzania Limited, inajulikana kama Letshego Bank, ni benki ya biashara iliyopo Tanzania.
Imepewa dhamana ya kibenki na Benki Kuu ya Tanzania na bodi ya mifumo ya kibenki ya taifa.[1]
Letshego Bank Tanzania ni benki ya kibiashara inayo ngozwa na Benki kuu ya Tanzania Dhumuni lake kijamii ni kutoa huduma inayokidhi na inayohitajika kifedha kwa watu wa chache, kundi dogo na kundi la watu wa kawaida wajasiriamali na kwa wale wachache waajiriwa wenye kipato kidogo. Pia inafanya kazi kama benki ndogo ya kifedha Kwa mwezi machi 2014 wamiliki waliongeza uwezo kwa €5.2 milioni (US $6.5 milioni au TZS 11.4 bilioni. Kwa muda huo wateja waliwekeza kiasi cha jumla ya €1.8 milioni au (US $2.23 sawa na TZS3.9 Bilioni) . Pia inakadiriwa kuwa jumla ya uwekezaji wote kwa mwez machi 2014 ni €7.0 milioni ( US $8.7 milioni au TZS 15.3 Bilioni. [2]
Marejeo
hariri- ↑ Bank of Tanzania (6 Mei 2018). "The Directory of Banks and Financial Institutions Operating in Tanzania as at 30th June 2017" (PDF). Dar es Salaam: Bank of Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-01-27. Iliwekwa mnamo 6 Mei 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Advans SA, . (Machi 2014). "Advans Bank Tanzania Annual Report April 2013 - March 2014" (PDF). AdvansBankTanzania.Com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2014.
{{cite web}}
:|first=
has numeric name (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Benki ya Letshego Tanzania Limited kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |