Bennett Chenene
Bennett Chenene (alizaliwa Februari 2, 1984) ni mchezaji wa Afrika Kusini ambaye anacheza kama kiungo wa kati kwa klabu ya nchini Ivory Coast klabu ya Williamsville Athletic.
Kazi
haririBaada ya kuwa bila klabu kwa miaka minne, Chenene alialikwa mnamo Desemba 2018 na klabu ya Williamsville Athletic huko Ivory Coast, na klabu hiyo haikutaka kumuachia mchezaji huyo pamoja na changamoto walizopata za vibali vya mchezaji huyo kufanya kazi nchini humo. Hata hivyo mpango huo ulikamilishwa mwanzoni mwa mwezi Agosti. 2019.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Chenene’s Four-Year Wait Nears End, Lands At New Club Abroad Ilihifadhiwa 29 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine., soccerladuma.co.za, 2 August 2019
- ↑ Chenene unveiled at new club Ilihifadhiwa 29 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine., kickoff.com, 8 August 2019
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bennett Chenene kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |