Bergama ni kamji na wilaya ya Mkoa wa İzmir katika Kanda ya Aegean huko nchini Uturuki. Hapa ilikuwa mahali pa Pergamon iliyokuwa mji mashuhuri wa Ugiriki ya Kale.

View of Bergama, Turkey

Mtibabu wa kale Galenos alizaliwa hapa.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bergama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.