Bern

mji mkuu wa Uswisi


Bern (pia: Berne, Berna) ni mji wa shirikisho wa Uswisi na mji mkubwa wa nne katika nchi. Bern ni pia mji mkuu wa jimbo la Bern. Iko kando la mto Aar. Hivyo ina nafasi ya mji mkuu ingawa shirikisho la Uswisi halina mji mkuu kikatiba.

Jiji la Bern
Jiji la Bern is located in Uswisi
Jiji la Bern
Jiji la Bern

Mahali pa mji wa Bern katika Uswisi

Majiranukta: 46°57′0″N 7°26′0″E / 46.95000°N 7.43333°E / 46.95000; 7.43333
Nchi Uswisi
Majimbo Jimbo la Bern
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 123.000
Tovuti:  www.bern.ch
Bern, Uswisi
Bern mwaka 1638

Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kijerumani kwa lahaja ya Bern.

Mji uliundwa mwaka 1191 ukapokea jina kutokana jina la Kijerumani la dubu ("Bär").

Mkazi mashuhuri wa Bern alikuwa Mjerumani Albert Einstein aliyeunda nadharia zake za fizikia ya kisasa alipofanya kazi mjini Bern

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bern kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.