Bernard Katz (26 Machi 191120 Aprili 2003) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Wakati wa utawala wa Hitler alihamia Uingereza. Hasa alichunguza neva. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1969. Mwaka wa 1970, pamoja na Ulf von Euler na Julius Axelrod alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Bernard Katz
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernard Katz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.