Herbert Wood Abbott (1875 - 22 Oktoba 1911) alikuwa mwanakandanda raia wa Uingereza akicheza kama beki wa kati katika klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL).[1][2][3] Akiwa alizaliwa Devizes, Wiltshire mwaka 1875.

Bert Abbott aliichezea Ruddington kabla ya kujiunga na Nottingham Forest.[4] Mchezo wake wa kwanza kwenye ligi kuu  yake ulikuwa dhidi ya Forest mnamo tarehe 1 mwezi wa 1 mwaka 1895 kwenye sare  ya 0-0 ugenini dhidi ya Blackburn Rovers.[5]

Abbott mara nyingi alikuwa kama mchezaji wa akiba.[6]

Baada ya kutoka Forest , mwaka 1897 alijiunga na Sheppey United iliyoko Isle of Sheppey.[7]

Maisha baada ya kandanda alijiunga na jeshi la Uingereza kikosi cha maji. akiwa na umri wa miaka 35, Tarehe 22 mwezi wa 10 mwaka 1911 alipoteza maisha akiwa anapiga mbizi.[8][9]

Marejeo

hariri
  1. http://www.enfa.co.uk/
  2. "Bert Abbott", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-02, iliwekwa mnamo 2024-07-31
  3. "Bert Abbott", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-02, iliwekwa mnamo 2024-07-31
  4. https://www.britishnewspaperarchive.co.uk/viewer/bl/0000321/18940908/002/0002
  5. "Bert Abbott", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2024-01-02, iliwekwa mnamo 2024-07-31
  6. https://www.britishnewspaperarchive.co.uk/viewer/bl/0000759/19111025/146/0007
  7. https://www.britishnewspaperarchive.co.uk/viewer/bl/0000759/19111025/146/0007
  8. https://www.britishnewspaperarchive.co.uk/viewer/bl/0000759/19111025/146/0007
  9. https://www.britishnewspaperarchive.co.uk/viewer/bl/0000329/19111030/168/0007
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bert Abbott kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.