Better Dayz ni jina la kutaja albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha hayati Tupac Shakur, na ya mwisho mpaka sasa kuwa albamu mbili pamoja.
Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba 2002, na kushika nafasi ya 5 kwenye chati za Billboard 200. Albamu inakusanya pamoja maujanja na manyimbo remixi kadhaa yasiyotolewa kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati anaingia mkataba na Death Row Records, na -litayarishwa na Johnny "J", Jazze Pha, Frank Nitty, na E.D.I. wa Outlawz. Vibao vikali vinajumlishwa na "My Block (remix)," "When We Ride on Our Enemies," "Catchin' Feelins" na "Never Call U Bitch Again". Pia ni pamoja na "Military Minds" ambayo ameshirikisha wanachama wa Boot Camp Clik - Buckshot na Smif-n-Wessun (ameingia kama Cocoa Brovaz) ambayo ilitakiwa iwe ushirikiano wa kialbamu baina ya Shakur na BCC lioitwa One Nation lakini haikutolewa rasmi kwa kufuatia kifo cha Shakur. Inashirikisha rekodi zisizotolewa 23 ikiwa pamoja na maremixi kadhaa ya kuanzia kipindi cha 1995-1996 pamoja na ingizo fulani la Shakur kwa ajili ya albamu kabla kupigwa risasi kinyama - ikiwa pamoja na kuonekana kwake Nas, Outlawz, Mýa, Jazze Pha, Ron Isley, na Tyrese, na wengine wengi. Single bab-kubwa, "Thugz Mansion," imekuja katika matoleo mawili: toleo la akustika la Nas, ambayo muziki wake wa video umetokana na toleo la hip-hop akimshirikisha Anthony Hamilton. Mnamo tar. 31 Januari 2003, ilitunukiwa 2x Platinum nchini Marekani.[1]
#
|
Jina
|
Waimbaji
|
Watayarishaji
|
1
|
"Intro"
|
2Pac
|
7 Aurelius
|
2
|
"Still Ballin'"
|
2Pac akishirikiana na Trick Daddy
|
Johnny j - Remixed by Nitty
|
3
|
"When We Ride On Our Enemies"
|
2Pac
|
D. Thomas - Remixed by BRISS
|
4
|
"Changed Man"
|
2Pac akishirikiana na Jazze Pha and T.I.
|
Johnny j - Remixed by Jazze Pha
|
5
|
"Fuck Em All"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Johnny J
|
6
|
"Never B Peace"
|
2Pac akishirikiana na E.D.I. and Kastro
|
Johnny J - Remixed by Nitty
|
7
|
"Mama's Just a Little Girl"
|
2Pac
|
Johnny J
|
8
|
"Street Fame"
|
2Pac
|
Daz Dillinger - Remixed by BRISS
|
9
|
"Whatcha Gonna Do?"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Johnny J - Remixed by E.D.I.
|
10
|
"Fair Xchange"
|
2Pac
|
Johnny J - Remixed by Jazze Pha
|
11
|
"Late Night"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
DJ Quik
|
12
|
"Ghetto Star"
|
2Pac akishirikiana na Nutt-so
|
Go-Twice
|
13
|
"Thugz Mansion" (Acoustic Version)
|
2Pac akishirikiana na Nas
|
Johnny J, Remixed by Claudio Cueni
|
#
|
Title
|
Performer(s)
|
Producer(s)
|
1
|
"My Block" (remix)
|
2Pac
|
Easy Mo Bee - Remixed by Nitti
|
2
|
"Thugz Mansion"
|
2Pac
|
Johnny j - Remixed by 7 Aurelius
|
3
|
"Never Call U Bitch Again"
|
2Pac akishirikiana na Tyrese
|
Johnny J
|
4
|
"Better Dayz"
|
2Pac akishirikiana na Ron Isley
|
Johnny j
|
5
|
"U Can Call"
|
2Pac akishirikiana na Jazze Pha
|
Johnny J - Remixed by Jazze Pha
|
6
|
"Military Minds"
|
2Pac akishirikiana na Cocoa Brovaz and Buckshot
|
Darryl “Big D” Harper - Remixed by E.D.I.
|
7
|
"Fame"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Hurt M Badd
|
8
|
"Fair Xchange" (remix)
|
2Pac akishirikiana na Mya
|
Johnny J - Remixed by Troy Johnson
|
9
|
"Catchin' Feelins"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Unknown - Remixed by E.D.I.
|
10
|
"There U Go"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Johnny J
|
11
|
"This Life I Lead"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Johnny J
|
12
|
"Who Do U Believe In?"
|
2Pac akishirikiana na Kadafi na Big Pimpin' Delemond
|
Johnny J
|
13
|
"They Don't Give A Fuck About Us"
|
2Pac akishirikiana na Outlawz
|
Johnny J
|
14
|
"Outro"
|
2Pac
|
|
Nafasi za chati za albamu
hariri