Bevan Fransch, (alizaliwa tarehe 16 Mei, 1986 huko Cape Town, Mkoa wa Magharibi) ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayecheza kama Beki kwa Vasco da Gama katika National First Division.[1]

Anatokea Bonteheuwel kwenye Cape Flats.

Marejeo

hariri
  1. "Ingia kwenye Facebook".
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bevan Fransch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.