Biak ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kaskazini wa Papua. Eneo la kisiwa ni 1904 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Kota Biak. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 112,873. Watu wakaao kisiwani kwa Biak huongea lugha ya Kibiak.

Kisiwa cha Biak
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.