Bigeh
kisiwa
Bigeh (Kiarabu: بجح; znmwt ya Misri ya Kale) [1] ni kisiwa na eneo la kiakiolojia lililoko kando ya Mto Nile katika Nubia ya kihistoria na ndani ya Jimbo la Aswan la kusini mwa Misri. Kisiwa hicho kiko kwenye hifadhi ya Bwawa la Old Aswan tangu kukamilika kwa bwawa hilo mnamo 1902.[2][3]
Picha
hariri-
Bigeh (uwanja wambele) na Philae pamoja na hekalu,mwanzoni mwa poromoko ya mto Nile.(1838 ilichorwa na David Roberts).
-
Mabaki ya kisiwa cha Bigeh mnamo mwaka 2006 katika bwawa la zamani la Aswan
-
"Sehemu ya magofu ya hekalu kwenye Kisiwa cha Bigge" (Bigeh), katika Nile, Nubia. Mwonekano (nyuma) ya Kisiwa cha Philae, pamoja na Isis Temple na Trajan's Kiosk. 1838 uchoraji wa kuchonga na David Roberts.
Marejeo
hariri- ↑ Allen, James P. (2015). Middle Egyptian Literature. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 978-1-316-09588-1.
- ↑ "Sidney Peel", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-04-09, iliwekwa mnamo 2022-06-11
- ↑ Ozden, Canay (2013-07-30). "The Pontifex Minimus: William Willcocks and Engineering British Colonialism". Annals of Science. 71 (2): 183–205. doi:10.1080/00033790.2013.808378. ISSN 0003-3790.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |