Bigger and Deffer
Bigger and Deffer (pia huitwa BAD au Bigger And Deffer) ni jina la kutaja albamu ya pili ya rapa LL Cool J na inakumbukwa sana kwa kuwa na "rap ballad" -liofanikiwa zaidi kibiashara, "I Need Love". Albamu pia imejumlisha single kali ya "Go Cut Creator Go", ambayo imetoa heshima kwa DJ wake, na single ilioyofanya vizuri huko nchini Uingereza "I'm Bad". Mnamo 1998, albamu ilichaguliwa kuwa kama moja kati ya Albamu Bora 100 za Rap za The Source, ambapo pia ilijipatia tahakiki mchanganyiko kibao kutoka kwa wengine. Picha ya kava ya mbele ya albamu ilipigwa mbele ya shule aliyokuwa akisoma LL Cool J, Andrew Jackson High School huko mjini Queens,[1]
Bigger and Deffer | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||||||||
Studio album ya LL Cool J | |||||||||||
Imetolewa | 22 Julai 1987 | ||||||||||
Imerekodiwa | 1986-1987 Chung King House of Metal (New York City) |
||||||||||
Aina | New Wave, Hip hop, Rap rock, New jack swing | ||||||||||
Urefu | 45:13 | ||||||||||
Lebo | Def Jam/Columbia/CBS Records CK 40793 |
||||||||||
Mtayarishaji | L.A. Posse, DJ Pooh | ||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
|
|||||||||||
Wendo wa albamu za LL Cool J | |||||||||||
|
Orodha ya nyimboEdit
Nyimbo zote zimetungwa na Simon/Ervin/Pierce/Smith, kasoro hizo zilizowekewa maelezo.
- "I'm Bad" – 4:39
- "Kanday" – 3:59
- "Get Down" – 3:23
- "The Bristol Hotel" – 2:43
- "My Rhyme Ain't Done" – 3:45
- ".357 - Break It on Down" (Ervin/Jordan/Pierce/Simon/Smith) – 4:05
- "Go Cut Creator Go" – 3:57
- "The Breakthrough" – 4:04
- "I Need Love" (Ervin/Ettenger/Simon/Smith) – 5:23
- "Ahh, Let's Get Ill" – 3:45
- "The Do Wop" – 4:59
- "On the Ill Tip" – :31
ChatiEdit
AlbamuEdit
Miaka | Albamu | Nafasi ya chati | |
---|---|---|---|
Billboard 200 | Top R&B/Hip Hop Albums | ||
1987 | Bigger and Deffer | 3 | 1 |
SingleEdit
Maelezo ya Single |
---|
"I'm Bad"
|
"I Need Love"
|
MarejeoEdit
- ↑ BestofQueens2004. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-02-07. Iliwekwa mnamo 2010-01-14.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bigger and Deffer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |