Bitkine

eneo la Guéra, Chad

Bitkine ni mji uliopo katika mkoa wa Guera nchini Chad.

Soko la Bitkine, eneo la Guéra, Chad
Soko la Bitkine, eneo la Guéra, Chad

Mwaka 2009 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 29,302 [1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Major Cities, Republic of Chad, tovuti ya citypopulation.de
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bitkine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.