Blaqbonez

Rapa na mwimbaji wa Nigeria

Emeka Akumefule, anayejulikana pia kama Blaqbonez, ni rapa wa Nigeria na mwimbaji aliyesainiwa na lebo ya Chocolate City. [1]

Marejeo

hariri
  1. Boomplay, The. "Why Blaqbonez Is Dethroning All Your Favourite Rappers In Nigeria". www.boomplaymusic.com. Iliwekwa mnamo 2019-09-18.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blaqbonez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.