Boay Akonay

Boay Akonay (amezaliwa 3 Januari 1970) ni mwanariadha kutoka nchi ya Tanzania aliyehudhuria Michezo ya Olimpiki mwaka wa 1988 upande wa mbio ya marathoni.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Boay Akonay kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.