Bob Hiltermann ni Mjerumani ambaye alizaliwa kiziwi.

Bob Hiltermann

Alitokea katika filamu ya Children of a Lesser God na akivaa uhusika wa Walter Novak kwenye tamthiliya ya televisheni All My Children. Hiltermann ni miongoni mwa wahusika wa dokumentari yenye kichwa kisemacho See What I'm Saying: The Deaf Entertainers Documentary.[1]

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bob Hiltermann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.