Bobi ni mji ulio katika mkoa wa Kaskazini mwa Uganda.

Ramani ya eneo la Uganda
majira nukta (2 ° 33'16.0 "N, 32 ° 21'28.0" E (Latitudo: 2.554441; Longitude: 32.357782))

Mahali ilipo hariri

Bobi ipo katika Wilaya ya Gulu kando ya barabara ya Kamdini – Gulu, takriban kilomita 27 sawa na maili 17 umbali kwa kwa barabara kutokea kusini mwa Gulu ambapo jiji kubwa zaidi katika mkoa wa Kaskazini.[1], ikiwa na majira nukta (2 ° 33'16.0 "N, 32 ° 21'28.0" E (Latitudo: 2.554441; Longitudo: 32.357782))[2].

Marejeo hariri

  1. GFC (3 January 2016). "Road Distance Between Gulu And Bobi With Map". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 3 January 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. https://www.google.com/maps/place/2%C2%B033'16.0%22N+32%C2%B021'28.0%22E/@2.5331089,32.3238409,12z/data=!4m2!3m1!1s0x0:0x0 | accessdate=3 January 2016}}